Header Ads Widget

KUITWA KAZINI KONSTEBO NA CORPORAL


Kamishna Mkuu wa Uhamiaji anawatangazia wafuatao kuwa wamefaulu usaili wa kujaza nafasi za Konstebo na Koplo wa Uhamiaji (Constable and Corporal of Immigration Services) hivyo wanatakiwa kuripoti Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Mtaa wa Loliondo – Kurasini , Dar es salaam tarehe 06/08/2014 saa 2.00 asubuhi.
Aidha wahusika wote wanaelekezwa kufika kwa wakati wakiwa na vyeti halisi vya masomo na vya kuzaliwa. Wasailiwa ambao majina yao hayamo kwenye orodha hii wanajulishwa kuwa hawakufanikiwa.

click here.

Post a Comment

0 Comments