Header Ads Widget

KUITWA KAZINI WAKAGUZI WASAIDIZI


Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, anawatangazia wafuatao waliofaulu usaili wa
kujaza nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatakiwa
kuripoti Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, Mtaa wa Loliondo Kurasini, Dar es Salaam tarehe
29 Julai 2014, saa 2:00 asubuhi. FUATA UKURASA HUU .

Post a Comment

0 Comments