Header Ads Widget

TAZAMA PICHA ZA AJALI YA MALORI MKOANI MBEYA




Wananchi wakiwa eneo la ajali baada ya malori kugongana huko Simike, Mbeya.
AJALI hii imetokea maeneo ya Simike mkoani Mbeya ikiyahusisha malori mawili na kusababisha foleni kubwa katika barabara hiyo. Kutokana na foleni hiyo, wananchi wengi waliamua kutembea kwa miguu huku waendesha bodaboda wakipata abiria wa kumwaga kutokana na barabara hiyo kutopitika kwa muda.PICHA NA GPL

Post a Comment

0 Comments