Cha kufanya ni wewe kujirekodi wakati unacheza huo wimbo we cheza staili yoyote unayohisi inafaa kwa wimbo wa Prokoto,halafu iweke kwenye akaunti yako ya Instagram kwa kuanza kwa #protoko na kumtag Victoriakwa jina la@victoriakimani.
Endapo staili yako itapita kwa kupata like zaidi na comment nyingi kuna kitita cha $500 ambayo sawa na laki nane za Kitanzania kwa Mshindi nafasi ni yako sasa.
0 Comments