Header Ads Widget

HII NI BAADA YA KUADHIBIWA KWA KUMNG'ATA MCHEZAJI MWENZAKE UWANJANI KATIKA KOMBE LA DUNIA HUKO BRAZIL,HIVI NDIVYO LUIS SUAREZ ALIVYOPOKELEWA KWAO HUKO NCHINI URUGWAY

Mchezaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez alipewa adhabu ya kutojihusisha na soka kwa muda wa miezi minne kutoka sasa baada ya kuthibitika kumng’ata mchezaji wa Italia Giorgio Chiellini kwenye mechi za kombe la dunia.

Pamoja na kwamba Suarez mwenyewe amesema hakufanya hivyo makusudi na kuwa hiyo ni kawaida kwenye matukio yanayotokea uwanjani, alipewa adhabu hiyo kali ambayo pia imepingwa na mashabiki mbalimbali waliompokea ambao wanaamini kaonewa.



 
 Tazama hii video hapa chini

Post a Comment

0 Comments