Ludvik Dolezal mwenye umri wamiaka 58 anayeishi katika mji wa Novy Bydzov, jamuhuri ya Czech inasemekana kuwa ndie mtu mchafu kuzidi wote katika bara la Ulaya.
Dolezal anaishi katika kibanda chakavu nchini humo na mfumo wake wa maisha ndio unamfanya aweze kukabiliana na baridi kali la
nchini humo...Jamaa ana lala kwenye pipa lenye majivu ya moto na
kuvutasigara zisizopungua 20 kwa siku..
Kwamujibu wa vya habari nchini humo inasemekana kuwa Dolezal anamatatizo ya kisaikolojia na hivyo humfanya atake kuchangia maisha yake na moto na majivu.
.
Shughuri yake kubwa ni kuchoma matairi ya magari yaliyochakaa na hulipwa paundi 81 za Uingereza kwa mwezi ambazo ni sawa na shilingi 226,000 za Tanzania kama mafao kutoka serikalini.
Chanzo:BONGOLINE
0 Comments