Header Ads Widget

NA HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA, AMINA NGALUMA ALIVYOZIKWA, TAZAMA PICHA ZOTE HAPA



Mwili wa marehemu Amina Ngaluma ukishushwa tayari kuingia kaburini kwa maziko, MachimboMnarani.
Mwili wa marehemu Amina Ngaluma ukiingizwa kaburini.
Mume wa marehemu Amina Ngaluma akisoma dua kwa mkewe.Kaburi la marehemu Amina Ngaruma aliyezikwa leo maeneo ya Machimbo, Mnarani.Picha na Global Publishers

Post a Comment

0 Comments