Hii ni nyimbo mpya ya msanii wa Hip hop kutoka Arusha Sungu Boy.Ameleta nyimbo mpya katika mtandao wetu wa Kwetu miono.Hii nyimbo inakwenda kwa jina ya Kitaani tunasota. isikilize hapa chini kwa kubonyeza play.
Sungu boy akiwa mitaa ya kwao huko sinza.
Sungu boy akiwa kwa Mchoraji mahiri Mhina sign
Hapo Sungu boy akiwa Nyumbani
Hapo akiwa offisini kwa mchoraji Mhina sign Huko Sinza.
Na hii ifuatayo ndiyo nyimbo yake sikiliza na hapo chini na kisha toa maoni yako chini;Number ya msanii ni
0658325075 Piga kwa ushauri au kwa chochote unachotaka kumwambia sungu boy.
0 Comments