Uvaaji wa wanawake wa namna hii
huamsha hamu ya tendo la ndoa kwa
mwanaume kwa kiwango kikubwa sana....
Carol Botwin ambaye ni mtaalamu
anayeaminika sana kwenye masuala ya
tendo la ndoa na uhusiano akiwa
ameandika vitabu kadhaa kuhusu mambo
hayo, kama kile cha Men Who Can't Be
Faithful, anasema, wanaume kutoka nje,
siyo jambo wanalopanga, bali hujikuta tu
na kujilaumu au kushangaa baadaye.
0 Comments