Header Ads Widget

BORA ILIVYOPIGWA MARUFUKU: HII NDIYO BAIKOKO NI LAANA TUPU JAMANI, HEBU CHEKI



Nimejikuta nikishikwa na wasiwasi mkubwa juu ya hawa jamaa wanaopiga ngoma na kuimba katika hizi ngoma za baikoko kama kweli ni marijali ama la, kwani kwa kiasi kikubwa mabwana hawa wamekuwa wakishikwashikwa,kukaliwa na kusuguliwa na madada ambao shughuli yao kubwa ni kukata mauno na kurusharusha nyeti zao huku na kule ili tu kuhakikisha kwamba mkono unaenda kinywani na familia inapata rizki.
Jamaa hawa wamekuwa wanawekwa katika wakati mgumu sana kwa kutegwa na wanawake hawa ambao kwa kiasi kikubwa wamaejichokea na maisha na hawajali shoti kwa kweli.Ukijiuliza kuhusu wake wa hawa jamaa kwamba wanahali gani kuwaona waume zao wanasuguliwa kwa makalio na wanawake wengine unaweza usipate majibu,yote kwa yote ni kwamba hawa jamaa wanahali tete sana kwani kazi yao ina majaribu sio kawaida.

Post a Comment

0 Comments