Tunda aina ya tango hupatikana maeneo mengi duniani, watu wengi hupuuza kula tunda hili kwasababu ya kutokuwa na sukari yoyote katika tunda hili.
Ukweli utabaki kuwa pale pale kuwa tango husaidia vitu vingi mwilini kwa mfano hupunguza maumivu ya kichwa, viungo vya mwili, hupambana na ugonjwa wa Cancer, husafisha figo, kupunguza uzito, huweka sawa mfumo wa damu, hukupatia afya nzuri ya nywele na mengineyo.
Jitahidi kula matango kwa afya bora, kwani unaweza kukata kata kama kachumbali ukatia chumvi ili kuleta radha ya kula. Mimi binafsi hupenda kula matango ninapoyapatia nafasi, kwani hayana idadi maalumu ya kula, utakula kadri uwezavyo.
KWA USHAURI NA KUPATA VIRUTUBISHO MBALIMBALI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0784778788
0 Comments