Header Ads Widget

HIVI NDIVYO JINSI DIAMOND ALIVYOANZA KUREKEDI KOLABO NIGERIA.

Maneno yanaumba !!! kwa jitihada zake Diamond Platnumz kama alivyosema kwamba ni lazima Wanigeria watamtambua time hii na kweli ndio inatokea hivyo.

Baada ya kuthibitisha kwamba atafanya kolabo kadhaa Lagos Nigeria Zikiwemo mbili za D’Banj na msanii wake, kazi imeanza kuonekana siku mbili baada ya kutua.
Source: Millard Ayo.

Post a Comment

0 Comments