![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6BR_MfVJB85nu9rE2VR3saLU_n08QeMaeM-TgNARJmQ0Ohm_GDSkJ5J5e8C8EYSrB_LUMAsTLrtB6vwvgY8klEZI_WYsieZ0n4yygUBgA78nBdViVsDujuMvrtOEozyc0caOyiFp6bYNL/s640/1c+%281%29.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati namba moja ya Bunge Maalum la Katiba Ummy Ally Mwalimu (kushoto) akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma kuhusu maendeleo waliyofikia katika kujadili sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya. Kulia ni Makamu wake Profesa Makame Mbarawa.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgB3Jeby0z5BhOJHpQIpZqtwBX8ETNACrXbBp5kIl5stCXEdhdtNFhaGGzjgIiXPR7hr3SyUiCF93CxAjLzrT47VnD97CIKHFHi-OdCjxdnfrc2tqzAXyqKqX2PNOSGl0bbBEEur5W76Tr7/s640/3+%281%29.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati namba kumi ya Bunge Maalum la Katiba Anna Abdallah (kulia) akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma kuhusu maendeleo waliyofikia katika kujadili sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya. Kushoto ni Makamu wake Salim Awadh Salim.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjy5wN7F91CnQgBCdeq0Ue8snMnqOB4TuGjqXLvlnkA1adXWhVJ-qllalvxIrquClhLSXFk5iYKMXw9sK6YbDJHlYA1MhDUtsJDUnuTCzd6wVEdbByoHmlCzFplJyeFhdBn5Ksd5qWx-fUM/s640/4+%281%29.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati namba kumi ya Bunge Maalum la Katiba Anna Abdallah (kushoto) akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma kuhusu maendeleo waliyofikia katika kujadili sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya. Kulia ni Makamu wake Salim Awadh Salim. Picha na Bunge la Katiba-Dodoma
0 Comments