Header Ads Widget

HATIMAYE LUIS SUAREZ AMETAJWA KUWA MCHEZAJI BORA WA MWAKA KATIKA LIGI KUU UINGEREZA





Hadi sasa Luis Suarez ameshafunga magoli 30 kwenye ligi ngumu ya uingereza na kuisaidia timu yake ya Liverpool kuwa kwenye nafasi nzuri ya kuwania ubigwa wa ligi hiyo.

Suarez anakuwa mchezaji wa pili kutoka Liverpool kushinda award hiyo na kama wakifanikiwa kuwa mabingwa itakuwa ni mara ya kwanza tangu miaka 24 ipite.

Mchezaji mwingine aliyeshinda award ni Eden Hazard ambaye ametajwa kuwa PFA Young Player of the Year.

Mchezaji huyu mwenye miaka 23 anaisaidia kwa kiasi kikubwa timu yake ya Chelsea kwenye mechi zao.




Eden Hazard

Post a Comment

0 Comments