Kama Bado Hujajiunga Nasi,kupata habari na matukio kila dakika Bonyeza Hapa sasa!

ANGELA MANG"ENYA wa TBC alikuwa ni mmoja kati ya wawezeshaji na Mentor pia katika semina hiyo.


waandishi wa habari toka redio mbalimbali ambao wamebahatika kupata ruzuku toka TANZANIA MEDIA FUND

toka kushoto ni Ester Sumila wa clouds fm mbeya katikati ni Bakari Khalid wa redio kahama fm Shinyanga na Vivian Pyuza wa Cg fm Tabora.

katika picha ya tabasmu na mama EDDA SANGA wapili toka kulia


mwandishi wa habari na mtangazaji wa redio kahama fm na mmiliki wa mtandao WA BONGO NA MATUKIO BAKAR KHALID/beka mtanzania katika pozi na mama ANGELA wa TBC

mwandishi wa habari na mtangazaji wa redio kahama fm na mmiliki wa mtandaoWA BONGO NA MATUKIO BAKAR KHALID/beka mtanzania katika pozi na mama EDDA SANGA.

MZEE Titus Philipo wa Cg fm Tabora mwenye shati la blue



toka kulia Nunu Abdul wa Faraja fm ,Herieth katikiro wa Kahama fm na Esther wa cloud fm mbeya
kuwafahamu zaidi TMF bofya http://www.tmf.or.tz/
0 Comments