
Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo Zouzoua Pacome (26) raia wa Ivory Coast kutoka Asec Mimosas kwa Mkataba wa miaka miwili.
Pacome ambaye anamudu kucheza nafasi ya namba 8 na 10 alikuwa mchezaji bora wa msimu wa Ligi Kuu Ivory Coast (MVP) aliwashinda Aubin Kramo wa Simba na Mohamed Zoungrana aliye ukingoni kujiunga na klabu ya MC Alger ya Algeria.
0 Comments