Waziri mkuu Majaliwa mkataba wa bandari "tutazingatia maoni, DP world ina utaalamu”
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo June 28,2023 amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akitoa hoja ya kuahirisha Mkutano wa 11 wa Bunge la 12 ambapo miongoni mwa mambo aliyoyazungumza ni pamoja na suala makubaliano baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi wa bandari nchini.
‘Kuhusu umiliki wa bandari, nilihakikishie Bunge lako na Wananchu kwa ujumla kwamba kupitia Sheria ya Bandari ya Mwaka 2004, Mamlaka ya Bandari Tanzania imekasimiwa haki ya kuwa Mmiliki wa maeneo yote ya bandari nchini na haina uwezo wa kutoa umiliki huo kwa kampuni yoyote”
0 Comments