Header Ads Widget

Nimetumia siku 7 ku-shoot video kila siku milioni 10 – Rayvanny


Kupitia Insta Story yake CEO wa lebo ya @nextlevelmusic_tz @rayvanny ameweka wazi kuwa alikuwa location aki-shoot video mpya.

@rayvanny ameweka wazi kuwa ametumia siku 7 kushoot video hiyo na katika hizo siku 7 kila siku ametumia milioni 10.

Hivyo kwa siku zote ametumia milioni 70.









Ally Juma

Post a Comment

0 Comments