Header Ads Widget

KATOTO-VIDEO YA KAYUMBA WA BONGO STAR SEARCH 2015 ITAZAME HAPA

Kama ulifuatilia bongo starsearch 2015 natumaini unamfahamu vizuri mshindi wa pambano hilo mwaka Anaitwa kayumba yeye ndie aliyeshinda katika hilo shindano linaloletwa na maadam rita paulson

Kayumba baada ya kuwa mshindi alipata shavu la kwenda kufanya kolabo na akon katika studio za akon nchini marekani, Baada ya kurudi alijiunga rasmi katika kundi la mkubwa na wanawe linalomilikiwa na mh.mkubwa fella na ametoa nyimbo hii hapa inaitwa katoto

Video imeongozwa na Justin Campos, Binafsi nimeipenda na nimeshawishika baada ya kuitazama na nikaamua kuidownload pia nakupa link ya kuitazama na kuidownload

Post a Comment

0 Comments