January 17 klabu ya Dar Es Salaam Young African iliikaribisha klabu ya Ndanda FC ya Mtwara wana kuchele katika dimba la uwanja wa taifa Dar Es Salaam, kucheza mchezo wake wa 14 wa Ligi Kuu Tanzania bara. Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lakini walikosa penati moja. Hii ni video ya goli na hali ya matukio ya mchezo yalivyokuwa.


0 Comments