Ni kitambo hatujamuona Lord Eyez kwenye stage na WEUSI wenzake, sasa hii imetokea nyumbani kwao Arusha usiku wa kuamkia mwaka mpya 2016 baada ya Joh Makini, G Nako na Nikki wa II kutangaza kupiga show mbele ya watu wa home, kilichotokea chote kipo kwenye hii video hapa chini…
By Millard Ayo
0 Comments