Ilikuwa ni nadra sana kuweka Mtv Base au Trace Tv ukakutana na video ya msanii wa Bongo Fleva inachezwa, siku hizi haishangazi kuona Alikiba, Diamond, Vanessa na wengine wakipata Air Time katika vituo hivyo mtu wangu. Usiku wa January 25 ni good news nyingine kwa muziki wa Bongo Fleva, vijana kutoka Mkubwa na Wanawe.
Hili ni kundi jipyalinaitwa SALAMU TMK Sio YAMOTO BAND
New Generation from Mkubwa Na Wanawe Foundation! The Group called SALAMU TMK! and the song titled "NAFSI" Download and Enjoy!!!
DOWNLOAD
Tazama video hapa chini
0 Comments