Header Ads Widget

Breaking News: Hali si Shwari Dar es Salaam....Wananchi Waliovunjiwa Nyumba Zao Wafunga Barabara Kwa Mawe na Kuchoma Moto Matairi


Hali si shwari katika eneo la Bonde la Mkwajuni Kinondoni jijini Dar es salaam, Wananchi waliobomolewa nyumba zao wamefunga barabara na kuchoma moto mataili pande zote za barabara


Jeshi la Polisi lipo eneo la tukio kukabiliana na tukio hilo.







==> Hapa Chini Kuna Video Ya Tukio Hilo. Itazame Ujionee

Post a Comment

0 Comments