Siasa
Safari ya Marehemu Mchungaji Christopher Reuben Mtikila Duniani imefika mwisho baada ya ndugu, jamaa, marafiki na mamia ya watu kuongozana mpaka Kijiji cha Milo, Ludewa Mkoa wa Njombe ambapo yamefanyika Mazishi yake jana October 08 2015.
Jina lake lilikuwa moja ya majina makubwa sana kwenye Siasa kwa muda mrefu sana Tanzania, Msiba wake umewashtua na kuwagusa watu wengi sana.
Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa Kiongozi wa Chama cha Democratic Party (DP), na aliingia pia kwenye Mchakato wa kugombea nafasi ya Urais kwenye Uchaguzi Mkuu Tanzania October 2015, lakini kutokana na kutotimiza baadhi ya vigezo chama chake kilitolewa na Tume ya Uchaguzi NEC katika kuendelea na mchakato huo.
Hizi hapa picha kutoka Kijiji cha Milo, Ludewa ambapo yamefanyika Mazishi ya Kiongozi huyo.
Viongozi wa Serikali walikuwepo pia, hii ni gari ya Mkuu wa Mkoa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi.
Juu ya Jenela lake kulifunikwa Bendera mbili, Bendera ya Chama chakke cha DP na Bendera ya Tanganyika.
RIP Mchungaji Mtikila.

picha zote na TZA
0 Comments