Kipindi cha nyuma kidogo wakati muziki wa Tanzania ukianza kusikika nchi za nje, tulikuwa tukiona kitu cha ajabu sana kwa vituo vikubwa vya nje vikipiga muziki wetu.. wengi wetu tulikua na mawazo tofauti na kuona kama jambo la ajabu hivi !
Tuliamini ili video za Bongo zifanye vizuri kwenye television za nje basi ni lazima video hiyo itengenezwe na directors kutoka nje pia, lakini kwa sasa tumeona video kadhaa za Bongo zikipenya tena zikiwa zimeongozwa na directors wa hapa hapa TZ.
Video hiyo ya ‘Siachani Nawe‘ unaweza kuicheki hapa ukaenjoy kwa mara nyingine tena !!
0 Comments