Video ilitengenezwa nyumbani kwao Dodoma ikiwa ni hit single kwenye Radio za Tanzania sasa hivi ambapo kwenye CloudsFM Top 20 imeshika nafasi ya pili wiki iliyopita kutoka nafasi ya tano ikiwa ni wiki yake ya saba tu toka iingie kwenye Countdown.
Millardayo.com
0 Comments