Header Ads Widget

ZIMEBAKI WIKI MBILI SIMBA KUKUTANA NA YANGA.INASEMEKANA OKWI....




Zikiwa zimebaki takribani wiki mbili kabla ya mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga, daktari wa Simba SC, Yassin Gembe amesema kwamba mshambuliaji, Mganda Emmanuel Okwi aligongwa kwenye enka na goti katika mchezo dhidi ya Stand United, lakini yuko fiti kabisa kucheza Oktoba 18, dhidi ya Yanga SC.

Okwi alitolewa nje mara mbili kupatiwa huduma ya kwanza na Dk Gembe, lakini mara zote alirejea uwanjani kuendelea na mchezo.
Pigo la pili lilimfanya mchezaji huyo aendelee kucheza huku akichechemea, hali ambayo ilizua hofu labda amepata maumivu makubwa.

“Ni kweli Okwi aligongwa mara mbili,
mara moja kwenye enka na mara moja
kwenye goti. Lakini hayakuwa maumivu makubwa na ataendelea na mazoezi na wenzake” amesema Gembe
BOFYA HAPA KUENDELEA KUISOMA ZAIDI 

Post a Comment

0 Comments