Header Ads Widget

WAPENZI WA OK ORIGINO KOMEDY SASA KAENI TAYARI JUMAPILI IJAYO

Baada ya uvumi mkubwa sana kwamba kundi la the komedi limesambaratika,sasa wakali hao waja na taarifa njema kwa mashabiki wao na kuwatoa wasiwasi kwamba Ngome yao iko IMARA Koote watachukua ila kwao Hawachukui chukui!!  Hawachukui chukui!! Hapa wamelala dolo.

Hizi ni taarifa za kuaminika kutoka kwa wahusika wa kundi hilo la ok origino komedy ambao ni Emannuel Maarufu kama Masanja Mkandamizaji leo wameandika hivi;

Hapa ni joti aki tweet katika akauti yake ya twitter.

JOTI ‏@JOTI__ 47m47 minutes ago

@OrijinoKomedi#ItsOfficialNw we are back na moto usiozimika!

JOTI ‏@JOTI__ 48m48 minutes ago

Na mtakuwa majirani ---> "@mkandamizaji: @OrijinoKomedi prodyuza funguo yangu iweke kwenye sanduku kabisa! Mtu asiguse pliiz @Sonofde2000"
 
 Nae masanja hakukaa kimya aliandika hivi:; 
 
1h1 hour ago
prodyuza akipokea funguo ya hiyo nyumba hapo nyuma ambayo mimi Masanja ninaimiliki! 
 

Post a Comment

0 Comments