HOME
KUHUSU BLOGU
MAWASILIANO YETU
TANGAZO
Header Ads Widget
MWANZO
HABARI
NAFASI ZA KAZI
KUKAYA MIONO
MICHEZO
TIBA MBADALA
MAHUSIANO
MIONO TV
RIWAYA
TEKNOLOJIA
Home
Habari
AJALI YA LORI YATOKEA CHALINZE MKOANI PWANI MUDA HUU
AJALI YA LORI YATOKEA CHALINZE MKOANI PWANI MUDA HUU
Kwetu Miono
8:27:00 AM
Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie habari Moja Kwa Moja
..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..
Lori aina ya Scania namba T 607 CWV Semi Taller (kama linavyoonekana katika picha) lililokuwa limebeba kokoto limeanguka katikati ya lami muda huu katika eneo la Chalinze Mzee Mkoani Pwani na kuharibika vibaya.
Kwa mujibu wa Mashuhuda, ajali hiyo ametokea baada ya gari hilo lililokuwa likielekea Dar es Salaam, kuteleza kutokana na mvua iliyonyesha asubuhi ya leo mkoani humo.
Hata hivyo askari wa usalama barabarani wamefika eneo la tukio na kufanikiwa kuliondoa gari hilo ambalo limesababisha foleni kubwa ya magari yaliyokuwa yakitokea jijini Dar es Salaam kwenda mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha kutokana na kuziba barabara.
Ads by Radio Canyon
Ad Options
Picha Zote na Faraji Mfinanga wa Dunia Kiganjani
DUNIA KIGANJANI
Post a Comment
0 Comments
FUATILIA MITANDAO YETU YA KIJAMII
PATA PESA MTANDAONI BOFYA TANGAZO
SUBSCRIBE CHANNEL YETU HAPA.
HABARI MPYA
Burudani.
Allan Okello awaaga rasmi Vipers, kushuhudia Azam FC vs Yanga
Omary Mbaraka
11:27:00 PM
WASILIANA NASI HAPA KWA CHOCHOTE BOFYA TANGAZO
ZILIZOSOMWA ZAIDI
HII NI AJIRA MPYA: ACTIONAID TANZANIA MWISHO TAREHE 11/5/2014 Tuesday, April 29, 2014 SOMA HII.
12:15:00 AM
Mambo 30 Usiyopaswa Kufanya Katika Mahusiano
12:31:00 PM
Askofu Gwajima Azushiwa Kifo
11:35:00 PM
Maneno ya Ben Pol kuhusu collabo na msanii wa Kenya….
6:44:00 AM
Yanga Yatwaa Taji la Mapinduzi Cup kwa Penalti Dhidi ya Azam FC
11:24:00 PM
Kutambua Ishara za Mwanamke: Ishara 8 za Kimya Anazotumia Kuonesha Upendo Wake Kwako
3:39:00 AM
AJIRA MPYA HII HAPA
7:01:00 AM
JUMLA YA WATEMBELEAJI WETU
JIUNGE NASI KWENYE FACEBOOK.
Contact form
0 Comments