#HakiItendekeHapo!!!!!!
Vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia bado vinaendelea Zanzibar baada ya watu wawili kushikiliwa na polisi kwa tuhuma za kubaka. Katika tukio lililotokea Agosti 4, mwaka huu Muhammed Khafidh Thabit (50), anadaiwa kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 14. Mtuhumiwa huyo alimuingilia binti yake huyo kinyume na maumbile na kumsababishia madhara makubwa mwilini wake. Akizungumzia kuhusu tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoa wa MjiniMagharibi Unguja, Mkadam Khamis Mkadam, alisema tukio hilo limetokea eneo la Misufini.

0 Comments