Header Ads Widget

TANGAZO PATA KUKU WA KIENYEJI KWA MATUMIZI YA NYUMBANI NA HOTELINI MUONE KASIM MBARAKA MANZESE SOKONI.SIMU NAMBA: 0787 144 992

Kukaribia msimu huu wa sikukuu ya Eidil Fitr, Bwana KASIM MBARAKA wa MANZESE SOKONI, Anawatangazia wateja wake wote kuwa Anauza kuku wa Kienyeji Kwa matumizi yote yaani ya Nyumbani na Mahotelini. Anachukua tenda Mbali mbali za Mahotelini, Kwahiyo wahi kufika mapema kabla hajapata tenda nyingi zaidi
Majogoo makubwa yapo na kuku wengine wakienyeji wa saizi pia wapo, Wahi sasa Nafasi ni Yako.
Huo Ni mzigo uliyopo sokoni kwa sasa Fika mwenyewe ukajionee wapo kuku wengi wa kienyeji hao ni baadhi tu. KASIM MBARAKA Yupo MANZESE SOKONI Ukipanda gari za Ubungo au Sinza Shuka Kituo kinachoitwa Bakhresa ya manzese Kisha ulizia MANZESE SOKONI Ukifika manzese sokoni Ulizia KASIM MBARAKA AU KASIM SALUM.

Post a Comment

0 Comments