Watu 17 wamepoteza maisha papo hapo na wengine zaidi ya 56 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la MORO BEST iliyotokea leo majira ya saa mbili asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la tukio Basi hilo limegongana na lori katika eneo la Pandambili Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma na kwamba miongoni mwa waliofariki ni pamoja na madereva na Makondakta wa magari yote mawili.
Hata hivyo chazo cha ajali hiyo bado hakijajulikana na majeruhi wote wamepelekwa katika hospitali ya wilaya ya Kongwa na wengine katika hospitali ya Mkoa wa Dodoma.
Habari kamili itawajia hapo baadae
Taarifa na Habel Chidawali wa Farajimfinanga.com - DODOMA.

0 Comments