Header Ads Widget

HII KALI: INASEMEKANA KUWA HUYU NDIYE KAHABA MZEE ZAIDI UINGEREZA 'BRITAIN'S OLDEST PROSTITUTE' …ANA MIAKA 85.... ADAI BADO ANA MVUTO!!



Huyu si mwingine bali ni Sheila Vogel-Coupe, miaka 85 raia wa Uingeraza, alianza kazi ya ukahaba toka enzi za ujana wake na kazi zake anazifanyia kwenye mahoteli na nyumbani (Kisheria lakini) na mpaka sasa anafanya kazi hiyo kwa kiasi cha euro £250 kwa saa zaidi ya shikingi laki sita za kibongo.... HATARI SANA...ENDELEA

Post a Comment

0 Comments