Header Ads Widget

HATIMAYE RAISI ALIYEONDOLEWA MADARAKANI NCHINI MISRI, HOSNI MUBARAKA AMEHUKUMIWA JELA MIAKA MITATU.



Hosni Mubarak wakati kesi yake ilipokuwa inaendelea.
Wanawe wawili Alaa na Gamal wamepata kifungo cha miaka minne kila mmoja.
Wendesha mashitaka walisema kuwa wanawe Mubarak waliponda mamilioni ya dola pesa za umma zilizotengewa kukarabati ikulu ya Rais na badala yake wakafanyia ukarabati nyumba zao za kifahari.

Wametakiwa kulipa pesa hizo za serikali na kutozwa faini ya dola milioni tatu..

Post a Comment

0 Comments