Leo kupitia kipindi cha XXL on Clouds fm Rapper Nyandu Tozi wa B.O.B Click ame achia Ngoma mpya inaitwa Mambo Mengine Baadae amemshirikisha swahiba wake wa kitambo kutoka Micharazo Mr Blue pamoja na wasanii wawili wapya kwenye game ya bongo flava Iva Son na Uswege, Nyandu pia amerelease Video ya ngoma hiyo iliyofanywa na Nick Dizzo,
Nyandu Tozi na MR Blue
Nyandu Tozi
Nyandu Tozi
Nyandu Tozi
Enyoy Video hapo chini
0 Comments