Header Ads Widget

Watu 288 wafariki na wengine 900 kujeruhiwa Katika Ajali ya Treni India

Watu 288 wafariki na wengine 900 kujeruhiwa Katika Ajali ya Treni India

Watu 288 wamethibitishwa kufariki dunia na wengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

Mamia ya watu wamefariki na wengine kujeruhiwa, huku maafisa wakisema idadi ya vifo inatarajiwa kuongezeka.

Treni moja ya abiria iliacha njia na mabehewa yake yaliangukia kwenye njia iliyo karibu ambapo yaligongwa na treni iliyokuwa ikija Ijumaa jioni.

Mpaka Sasa Watu 288 wamethibitishwa kufariki wengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea mashariki mwa jimbo la Odisha nchini India, maafisa wanasema.

Mamia ya watu wamefariki na wengine kujeruhiwa, huku maafisa wakisema idadi ya vifo inatarajiwa kuongezeka.  Treni moja ya abiria iliacha njia

Zaidi ya magari 200 ya kubebea wagonjwa yalitumwa katika eneo la tukio katika wilaya ya Balasore, anasema katibu mkuu wa Odisha Pradeep Jena.

Mamia ya watu wamefariki na wengine kujeruhiwa, huku maafisa wakisema idadi ya vifo inatarajiwa kuongezeka.  Treni moja ya abiria iliacha njia

Treni moja ya abiria inasemekana iliacha njia ya reli kabla ya kugongana na nyingine usiku wa Ijumaa.

Ni ajali mbaya zaidi ya treni nchini India kuwahi kutokea karne hii. Maafisa wanasema idadi ya vifo inatarajiwa kuongezeka zaidi.

Shirika la Reli la India lilisema treni mbili zilizohusika katka ajali hiyo ni Coromandel Express na Howrah Superfast Express.

Post a Comment

0 Comments