Kutoka Bungeni Dodoma Mkutano wa bunge umeendelea tena leo April 28 2016 ambapo mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amewasilisha bungeni ripoti mpya ya tuhuma za IPTL, Tegeta Escrow pamoja na Standard Bank ya Uingereza.
Katika mambo ambayo zitto ameyazungumzia ni kuhusu Takukuru na kesi za ufisadi nchini ikiwemo ya Ufisadi wa HatiFungani ya Tshs 1.2 trilioni Standard Bank ya Uingereza na Uchunguzi wa IPTL Tegeta Escrow Account, Kuhusu hatifungani ya trilioni 1.2 ya Standard Bank ya Uingereza Zitto amesema…….
By Msombe TZA
0 Comments