Header Ads Widget

Pichaz: Mapokezi ya Diamond Lodwar Turkana Kenya, Mamia Wajitokeza



Mamia ya wakazi wa Lodwar, Turkana Kenya walijitokeza hiyo jana kumpokea mkali wa muziki wa Afro-Pop kutoka Tanzania, Diamond Platinum ambaye alikutua mapema hiyo jana kwenye uwanja wa ndenge wa Lodwar.

Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi hayo.



 

Post a Comment

0 Comments