Picha ya Mh.Diwani Juma Mpwimbwi wa kata ya miono kijiji cha miono
wana ccm wakimsikiliza mh. diwani.
Mh. diwani akiwa katika mkutano na wanakijiji
Ni diwani aliyechaguliwa na wananchi wake wa kijiji cha miono na sasa yupo katik majukumu ya kutimiza ahadi zake wakati wa kampeni.
0 Comments