Header Ads Widget

Yamoto & Mashauzi wapagawasha Mango Garden


 
Mwimbaji wa Yamoto Band, Maromboso, akiimba na mashabiki jukwaani.

 
Kiongozi wa Yamoto Band, Asley, akiimba kwa hisia kali.

Mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Mashauzi, akiimba.

Wacheza shoo wa Mashauzi Classic wakicheza kwa staili ya pekee.

 
Mwimbaji wa Yamoto, Beka One Fleva, akiimba huku mmoja wa mashabiki waliojitokeza akicheza.

Baadhi ya mashabiki wakicheza wakati Yamoto ikitumbuiza.

 
Mcheza shoo wa Yamoto, Chiba, akipanda jukwaani.

 
Enock Bella akimpatia ujumbe kwa njia ya kuimba mmoja wa mashabiki.

Yamoto kazini.

Mmoja wa mashabiki akionyesha hali ya kuhamasika kupita wenzake.

KUNDI la Yamoto Band na Mashauzi Classic usiku wa kuamkia leo wamepagawisha vilivyo ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.

Makamuzi hayo yaliyokuwa na msisimko mkubwa kutoka kwa mashabiki mbalimbali waliojitokeza yalikuwa ya aina yake kwani bendi hizo ziliweza kufanya shoo ya nguvu iliyowatendea haki karibia mashabiki wote waliojitokeza kwenye ukumbi huo.
GPL 

Post a Comment

0 Comments