Header Ads Widget

Video: Show ya Shilole mbele ya Wazanzibari




Januari 2 2016 staa wa Bongo fleva na Bongo Movie Shilole aliungana na baadhi ya wasanii wenzake akiwemo Linah, Bonge la Nyau, Baba Levo, Bill Nass na wengine kisha kudondosha burudani kwa mashabiki wa Zanzibar.

Hapa nimekusogezea full video ya show kuanzia mwanzo hadi mwisho, kuitazama bonyeza Play hapa chini.


Post a Comment

0 Comments