Ni headlines za rapper aishiye Marekani ‘Minnesota’ mwenye asili ya Tanzania ambaye aliwahi kushirikishwa na Kanye West kwenye ngoma iitwayo ‘All Day’.
Good news ninayotaka kushea na wewe ni kwamba mtanzania huyo hivi karibuni anatarajia kuachia album yake mpya iitwayo ‘NORTHERN LIGHTS’ tarehe 6 mwezi January tukae mkao wa kuipokea.
My new project NORTHERN LIGHTS drops January 6th. My b-day! Art by @KINGS0L0M0Npic.twitter.com/pjxJb91mTF
— Allan Kingdom (@ALLANKNGDM) December 30, 2015
By Edwin TZA
0 Comments