Header Ads Widget

MWANAMITINDO WA MAREKANI ROPER AFUTA POST YA KWANZA ALIYOPOST KUMPONDA DIAMOND NAKUPOST HII HAPA





Waliomchoma chibu ndo wamezidi kumpaisha....
Kijana ni Icon wa ukweli Tanzania...Baada ya wabongo kumkomalia vilivyo mbunifu wa marekani aliyemtuhumu chibu kumuibia kazi zake, sasa ameamua kuifuta ile post yake na kutupia nyingine


 

Post a Comment

0 Comments