Anajulikana kwa jina la Nick Mutuma ambaye ni msanii asiyeishiwa na vituko kutoka kenya ambaye inasemekana kuwa anadate na Msanii Jokate Mwagelo Kutoka Tanzania baada ya kuachana na mpenzi wake wa zamani ajulikanye kwa jina la Bridgette ,kupitia Instagram Nick alipost picha hiyo akiwa na Jokate huku wakionyesha kuwa na furaha kuwa pamoja.
CHANZO: DUNIA KIGANJANI
0 Comments