Header Ads Widget

HUYU NDIYE MWANAMICHEZO MWINGINE STAA ALIYEJITANGAZA KUWA YEYE NI SHOGA



Bingwa mara tano wa kuogelea katika michuano ya Olimpiki duniani Ian Thorpe amejitangaza hadharani kuwa ni shoga katika moja ya mahojiano yake nchini Australia.


Awali Thorpe alikuwa akinakusha kuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kuandika maelezo yake mwaka 2012.

Muogeleaji huyo wa kutegemewa nchini Australia amekuwa akikabiliwa na msongo wa mawazo na kuwekwa Rehab mapema mwaka huu.


Katika moja ya mahojiano yake, Thorpe amesema kuwa hivi karibuni amejisikia vizuri na kuona kawaida kuzungumza mbele ya marafiki zake kuhusu jinsia yake.

Post a Comment

0 Comments