Unaweza kuona kama bado drama zinaendelea lakin ni kama movie imefika mwisho, kwani wale wakali wawili waliotengeneza headline hapa mjini kwa social media wamepatana, Kajala Masanja na Wema sepetu.Hii imetokea jana kwenye msiba wa director na aliyekuwa mzazi mwenzie Monalisa.
Soma zaidi hapa>>>>>>
0 Comments