Hot news is that staa ray the great leo kupitia mitandao ya jamii alizungumza kuwa anampenda sana chuchu hans, na hakuna atakayeweza kuwatenganisha, na kwa kuliaprove hilo ndipo alipoamua kuweka picha hii hapo juu ikiwa ni ishara ya mahaba na upendo kwao.
0 Comments