Header Ads Widget

HII NI BREAKING NEWS YA MATOKEO YA UCHAGUZI KATIKA JIMBO LA CHALIZE YATANGAZWA,RIDHIWANI KIKWETE (CCM)ASHINDA KWA ASILIMIA 86.5 SOMA HAPA.,





Matokeo ya Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze yametangazwa Chama cha Mapinduzi CCM kimepata jumla ya kura 20,812,na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),kimepata idadi ya jumla kura 2,828 na chama cha Wananchi CUF kimepata kura 474.


Hivyo chama cha Mapinduzi CCM kimeshinda Kiti cha Ubunge Jimbo la Chalinze

CCM 20812 = %86.5 CDM 2628 = %10.9 CUF 473 = % 1.9 AFP 78 = % 0.3 NRA 59 = % 0.2

Post a Comment

0 Comments