Anaitwa Mathias Maziku Mtanzania Mlemavu wa Macho ‘asiyeona’ ambaye ameamua kutembea kwa miguu kutoka Mwanza hadi Dar Es Salaam lengo ni kuweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza asiyeona kutembea kwa miguu umbali mrefu wa zaidi ya kilomita 1120.
Maziku ambaye ni Shabiki wa Yanga amesema lengo la Safari yake ni kufika Makao Makuu ya Yanga na kugusa vikombe vya Ubingwa vya klabu hiyo.
0 Comments