Mbunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule ambaye wengi tunamfahamu kama Prof Jay Jumamosi ya April 16 alikutana na wananchi wake wa Ruaha kujua matatizo na kero zao kabla ya kwenda katika vikao vya Bunge mjini Dodoma vitakavyoanza Jumanne ya April 19 2016 Dodoma.
0 Comments